Bata Reunion 5th sept 2020

Hii ni forum inaohusisha kupeana location ya sehemu za starehe zinazo happen na ratiba za events mbali mbali
Mustafa
New Member
Posts: 423
Joined: Tue Aug 11, 2020 11:30 am

Bata Reunion 5th sept 2020

Postby Mustafa » Fri Aug 14, 2020 11:57 am

Tarehe 5 mwezi wa tisa kutakuwa na event kubwa pale kinondoni de mag hotel. Wote mnakaribishawa. Watakwepo wengi walio ishi china, malaysia na india
IMG-20200813-WA0119.jpg



Olla
New Member
Posts: 8
Joined: Thu Aug 06, 2020 11:54 am

Re: Bata Reunion 5th sept 2020

Postby Olla » Sun Aug 23, 2020 10:42 pm

Apa lazima ñiwepo


Return to “Fun Places”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 2 guests

cron