Chanzo cha Africa kuwa nyuma kimaendeleo
Chanzo cha Africa kuwa nyuma kimaendeleo
Huyu bana ameelezea vizuri sana jinsi hawa wazungu walivyo tuletea elimu ambao imetusababishia mpaka leo hii tupo nyuma yao. Msikilize kwa makini
-
- New Member
- Posts: 5
- Joined: Mon Aug 17, 2020 11:32 pm
Re: Chanzo cha Africa kuwa nyuma kimaendeleo
Lakin kwa kias fulan imetusaidiaa
Re: Chanzo cha Africa kuwa nyuma kimaendeleo
Imetusaidia vp apo maana mm naona wametengeneza chanel ya kutufanya sikuzote tuwe chini yao. Hapo msaada ni nini embu nambie
Return to “General Discussions”
Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 2 guests