Zuchu atia aibu ilo shirt

Hii ni forum ya matukio yote yanayo endelea katika jamii.
Nicky
New Member
Posts: 15
Joined: Sun Aug 09, 2020 8:06 am

Zuchu atia aibu ilo shirt

Postby Nicky » Fri Aug 14, 2020 12:56 pm

Nachompenda zuchu hapendi kuonesha mwili wake kama wasanii wengine,yeye kifua chake kitapigwaa barid mpaka kiombe pooh lakin sio kuoneshaa matiti waz
Attachments
F674FAC2-CD4E-42D6-AF3B-9A2FB456DEBC.jpeg
About zuchu



Pendo
Posts: 3
Joined: Fri Aug 07, 2020 9:01 am

Re: Zuchu atia aibu ilo shirt

Postby Pendo » Fri Aug 14, 2020 6:03 pm

Haha Yani cjui mbunifu wake bado Yuko kigoma dah Sasa nguo gani hiyo hauna hata wenzie wanavaaje???ila labda unamwiga kaka yake kwa kutupia mijeje

Mustafa
New Member
Posts: 423
Joined: Tue Aug 11, 2020 11:30 am

Re: Zuchu atia aibu ilo shirt

Postby Mustafa » Sun Aug 23, 2020 8:40 am

Naskia eti wasafi ndio wanampa promo aje kuwa mpinzani wa Nandy 8-) :lol:


Return to “General Discussions”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 4 guests