Page 1 of 1

Hili tatizo la kukosa hedhi limekuwa tishio kwa mabint

Posted: Mon Aug 17, 2020 11:29 am
by Nicky
Hiv kwa nin mabint wengi siku iz hawapati mizinguko yao kama kawaida kila mwezi wengi wao siku zao huwa zinapitilizaa wadau embu t tuwasaidie, tuwashauli ili wasijepata madhala baadae

Re: Hili tatizo la kukosa hedhi limekuwa tishio kwa mabint

Posted: Mon Aug 17, 2020 11:42 pm
by Princessmai
Matatizo haya yanajitokeza kutokana life style hawajali hata afya zao