Page 1 of 1

Bata Reunion 5th sept 2020

Posted: Fri Aug 14, 2020 11:57 am
by Mustafa
Tarehe 5 mwezi wa tisa kutakuwa na event kubwa pale kinondoni de mag hotel. Wote mnakaribishawa. Watakwepo wengi walio ishi china, malaysia na india
IMG-20200813-WA0119.jpg

Re: Bata Reunion 5th sept 2020

Posted: Sun Aug 23, 2020 10:42 pm
by Olla
Apa lazima ñiwepo